Proverbs 7:6
Kwenye dirisha la nyumba yangu 2 nilitazama nje kupitia upenyo 2 kwenye mwimo wa dirisha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For at the window of my house I looked through my casement,
In Context
5watakuepusha na mwanamke mzinzi, 2 kutokana na mwanamke mpotovu 2 na maneno yake ya kubembeleza. 1
7Niliona miongoni mwa wajinga, 2 nikagundua miongoni mwa wanaume vijana, 2 kijana asiye na akili. 1
Cross References
Genesis 26:8Wakati Isaki alipokuwa amekaa huko siku nyingi, Abimeleki mfalme wa Wafilisti akachungulia dirishani, akaona jinsi Isaki alivyomkumbatia Rebeka mke wake.
2 Samuel 6:16Ikawa Sanduku la Bwana lilipokuwa linaingia katika Mji wa Daudi, Mikali binti Sauli akachungulia dirishani. Naye alipomwona Mfalme Daudi akirukaruka na kucheza mbele za Bwana, akamdharau moyoni mwake.