Proverbs 8:16
kwa msaada wangu wakuu hutawala, 2 na wenye vyeo wote watawalao dunia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
By me princes rule, and nobles, even all the judges of the earth.
In Context
15Kwa msaada wangu wafalme hutawala 2 na watawala hutunga sheria zilizo za haki, 1
17Nawapenda wale wanipendao, 2 na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. 1