The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 8 › Proverbs 8:15

Proverbs 8:15

Kwa msaada wangu wafalme hutawala 2 na watawala hutunga sheria zilizo za haki, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

By me kings reign, and princes decree justice.

In Context

14Ushauri na hukumu sahihi ni vyangu; 2 nina ufahamu na nina nguvu. 1

16kwa msaada wangu wakuu hutawala, 2 na wenye vyeo wote watawalao dunia. 1

Read all of Proverbs 8

Cross References

1 Samuel 9:17Samweli alipomwona Sauli, Bwana akamwambia, “Huyu ndiye mtu niliyekuambia habari zake, kwamba yeye atawatawala watu wangu.”

1 Kings 3:9Hivyo mpe mtumishi wako moyo wa ufahamu ili kutawala watu wako na kupambanua kati ya mema na mabaya. Kwa maana, ni nani awezaye kutawala watu wako hawa walio wengi hivi?”

1 Kings 5:7Hiramu aliposikia ujumbe wa Solomoni, akafurahishwa sana akasema, “Ahimidiwe Bwana leo, kwa kuwa amempa Daudi mwana mwenye hekima kutawala juu ya taifa hili kubwa.”

1 Chronicles 28:5Miongoni mwa wanangu wote, naye Bwana amenipa wengi, amemchagua Solomoni mwanangu ili kukikalia kiti cha enzi cha ufalme wa Bwana juu ya Israeli.

Psalms 72:1Ee Mungu, mjalie mfalme aamue kwa haki yako, 2 mwana wa mfalme kwa haki yako. 1

Isaiah 1:26Nitawarudishia waamuzi wenu kama ilivyokuwa siku za zamani, 2 nao washauri wenu kama ilivyokuwa mwanzoni. 1 Baadaye utaitwa, 2 Mji wa Haki, 2 Mji Mwaminifu.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 8:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 8:14Proverbs 8Proverbs 8:16 →