The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 9 › Proverbs 9:3

Proverbs 9:3

Amewatuma watumishi wake wa kike, naye huita 2 kutoka mahali pa juu sana pa mji. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

She hath sent forth her maidens: she crieth upon the highest places of the city,

In Context

2Ameandaa nyama na kuchanganya divai yake; 2 pia ameandaa meza yake. 1

4Anawaambia wale wasio na akili, 2 “Wote ambao ni wajinga na waje hapa! 1

Read all of Proverbs 9

Cross References

Proverbs 1:20Hekima huita kwa sauti kuu barabarani, 2 hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa; 1

Proverbs 9:14Huketi kwenye mlango wa nyumba yake, 2 juu ya kiti katika mahali pa juu sana pa mji, 1

Matthew 22:3Akawatuma watumishi wake kuwaita wale waliokuwa wamealikwa karamuni, lakini wakakataa kuja.

Luke 11:49Kwa sababu ya jambo hili, Mungu katika hekima yake alisema, ‘Tazama, nitatuma kwao manabii na mitume, nao watawaua baadhi yao na wengine watawatesa.’

Luke 14:21“Yule mtumishi akarudi, akampa bwana wake taarifa. Ndipo yule mwenye nyumba akakasirika, akamwagiza yule mtumishi wake, akisema, ‘Nenda upesi kwenye mitaa na vichochoro vya mjini uwalete maskini, vilema, vipofu na viwete.’

John 18:20Yesu akamjibu, “Nimekuwa nikizungumza waziwazi mbele ya watu wote. Siku zote nimefundisha katika masinagogi na Hekaluni, mahali ambapo Wayahudi wote hukusanyika. Sikusema jambo lolote kwa siri.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 9:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 9:2Proverbs 9Proverbs 9:4 →