Psalms 102:21
Kwa hiyo jina la Bwana latangazwa huko Sayuni 2 na sifa zake katika Yerusalemu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To declare the name of the LORD in Zion, and his praise in Jerusalem;
In Context
20kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa 2 na kuwaweka huru wale waliohukumiwa kufa.” 1
22wakati mataifa na falme zitakapokusanyika 2 ili kumwabudu Bwana. 1
Cross References
Exodus 3:17Nami nimeahidi kuwapandisha kutoka mateso yenu katika nchi ya Misri, niwapeleke nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, nchi itiririkayo maziwa na asali.’
Psalms 22:22Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu, 2 katika kusanyiko nitakusifu wewe. 1
Psalms 79:11Kilio cha huzuni cha wafungwa kifike mbele zako; 2 kwa nguvu za mkono wako 2 hifadhi wale waliohukumiwa kufa. 1
Isaiah 51:11Wale waliolipiwa fidia na Bwana watarudi. 2 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa taji juu ya vichwa vyao. 1 Furaha na shangwe zitawapata, 2 huzuni na kulia kwa uchungu kutatoweka. 1
Ephesians 3:21yeye atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu kwa vizazi vyote, milele na milele. Amen.