Isaya 51:11
Wale waliolipiwa fidia na Bwana watarudi. 2 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa taji juu ya vichwa vyao. 1 Furaha na shangwe zitawapata, 2 huzuni na kulia kwa uchungu kutatoweka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 126:2Vinywa vyetu vilijaa kicheko, 2 ndimi zetu zilijaa nyimbo za shangwe. 1 Ndipo iliposemwa miongoni mwa mataifa, 2 “ Bwana amewatendea mambo makuu.” 1
Isaiah 35:10waliokombolewa na Bwana watarudi. 1 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao. 1 Watapata furaha na shangwe; 2 huzuni na majonzi vitakimbia.
Isaiah 48:20Tokeni huko Babeli, 2 kimbieni kutoka kwa Wakaldayo! 1 Tangazeni hili kwa kelele za shangwe 2 na kulihubiri. 1 Lipelekeni mpaka miisho ya dunia; 2 semeni, “ Bwana amemkomboa 2 mtumishi wake Yakobo.” 1
Isaiah 60:19Jua halitakuwa tena nuru yako mchana, 2 wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia, 1 kwa maana Bwana atakuwa nuru yako ya milele, 2 naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 1
Isaiah 65:19Nami nitaifurahia Yerusalemu 2 na kuwafurahia watu wangu; 1 sauti ya maombolezo na ya kilio 2 haitasikika humo tena. 1
Jeremiah 30:19Nyimbo za kushukuru zitatoka kwao 2 na sauti ya furaha. 1 Nitaiongeza idadi yao 2 wala hawatapungua, 1 nitawapa heshima 2 na hawatadharauliwa. 1