Zaburi 105:13
walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, 2 kutoka ufalme mmoja hadi mwingine. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When they went from one nation to another, from one kingdom to another people;
In Context
12Walipokuwa wachache kwa idadi, 2 wachache sana na wageni ndani yake, 1
14Hakuruhusu mtu yeyote awaonee; 2 kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema: 1
Cross References
Genesis 12:10Basi kulikuwako na njaa katika nchi, naye Abramu akashuka kwenda Misri kukaa huko kwa muda, kwa maana njaa ilikuwa kali.
Psalms 56:8Andika maombolezo yangu, 2 orodhesha machozi yangu katika gombo lako: 2 je, haya hayapo katika kumbukumbu zako? 1