Zaburi 106:13
Lakini mara walisahau aliyowatendea, 2 wala hawakungojea shauri lake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They soon forgat his works; they waited not for his counsel:
In Context
12Ndipo walipoamini ahadi zake, 2 nao wakaimba sifa zake. 1
14Jangwani walitawaliwa na tamaa zao, 2 walimjaribu Mungu nyikani. 1
Cross References
Exodus 15:24Kwa hiyo watu wakamnungʼunikia Mose, wakisema, “Tunywe nini?”
Exodus 17:2Kwa hiyo wakagombana na Mose wakisema, “Tupe maji ya kunywa.” Mose akajibu, “Mbona mnagombana nami? Kwa nini mnamjaribu Bwana?”
Psalms 78:11Walisahau aliyokuwa ameyatenda, 2 maajabu aliyokuwa amewaonyesha. 1
Proverbs 1:25kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote 2 na hamkukubali karipio langu, 1
Isaiah 48:17Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli: 1 “Mimi ni Bwana, Mungu wako, 2 nikufundishaye ili upate faida, 2 nikuongozaye katika njia ikupasayo kuiendea. 1