The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 48 › Isaiah 48:17

Isaiah 48:17

Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli: 1 “Mimi ni Bwana, Mungu wako, 2 nikufundishaye ili upate faida, 2 nikuongozaye katika njia ikupasayo kuiendea. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus saith the LORD, thy Redeemer, the Holy One of Israel; I am the LORD thy God which teacheth thee to profit, which leadeth thee by the way that thou shouldest go.

In Context

16“Nikaribieni na msikilize hili: 1 “Tangu tangazo la kwanza sikusema kwa siri; 2 wakati litokeapo, nitakuwako hapo.” 1 Sasa Bwana Mwenyezi amenituma, 2 kwa Roho wake. 1

18Laiti ungesikiliza kwa makini maagizo yangu, 2 amani yako ingekuwa kama mto, 2 haki yako kama mawimbi ya bahari. 1

Read all of Isaiah 48

Cross References

Joshua 3:4Ndipo mtakapotambua njia mtakayoiendea, kwa kuwa hamjawahi kuipita kabla. Lakini msisogee karibu, bali kuwe na umbali wa dhiraa 2,000 + 3:4 Dhiraa 2,000 ni sawa na mita 900. kati yenu na Sanduku.”

Job 22:21“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, 2 ndipo mema yatakapokujia. 1

Psalms 25:8Bwana ni mwema na mwenye adili, 2 kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake. 1

Psalms 32:8Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; 2 nitakushauri na kukuangalia. 1

Psalms 73:24Unaniongoza kwa shauri lako, 2 hatimaye utaniingiza katika utukufu. 1

Isaiah 30:20Ingawa Bwana huwapa chakula cha shida na maji ya taabu, walimu wenu hawatafichwa tena, kwa macho yenu wenyewe mtawaona.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 48:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 48:16Isaiah 48Isaiah 48:18 →