Psalms 107:21
Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, 2 na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Akalituma neno lake na kuwaponya, 2 akawaokoa kutoka maangamizo yao. 1
22Na watoe dhabihu za kushukuru, 2 na wasimulie matendo yake kwa nyimbo za furaha. 1
Cross References
Psalms 66:5Njooni mwone yale Mungu aliyoyatenda, 2 mambo ya kutisha aliyoyatenda 2 miongoni mwa wanadamu! 1
Psalms 107:15Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, 2 na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu, 1
Luke 17:18Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?”