Luka 17:18
Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There are not found that returned to give glory to God, save this stranger.
In Context
17Yesu akauliza, “Je, hawakutakaswa wote kumi? Wako wapi wale wengine tisa?
Cross References
Psalms 50:23Atoaye dhabihu za shukrani ananiheshimu mimi, 2 naye aiandaa njia yake 2 ili nimwonyeshe wokovu wa Mungu.”
Isaiah 42:12Wampe Bwana utukufu, 2 na kutangaza sifa zake katika visiwa. 1
Matthew 8:12Lakini warithi wa Ufalme watatupwa katika giza la nje, ambako kutakuwako kilio na kusaga meno.”
Matthew 19:30Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
Revelation 14:7Akasema kwa sauti kubwa, “Mcheni Mungu na kumpa utukufu, kwa maana saa ya hukumu yake imewadia. Mwabuduni yeye aliyeziumba mbingu, dunia, bahari na chemchemi za maji.”