Zaburi 108:13
Kwa msaada wa Mungu tutapata ushindi, 2 naye atawaponda adui zetu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Through God we shall do valiantly: for he it is that shall tread down our enemies.
In Context
12Tuletee msaada dhidi ya adui, 2 kwa maana msaada wa mwanadamu haufai kitu. 1
Cross References
2 Chronicles 20:12Ee Mungu wetu, je, wewe hutawahukumu? Kwa kuwa sisi hatuna uwezo wa kukabiliana na jeshi hili kubwa linalokuja kutushambulia. Sisi hatujui la kufanya, bali macho yetu yanakutazama wewe.”
Psalms 18:42Niliwaponda kama mavumbi yanayopeperushwa na upepo; 2 niliwamwaga nje kama tope barabarani. 1
Psalms 118:6Bwana yuko pamoja nami, sitaogopa. 2 Mwanadamu anaweza kunitenda nini? 1
Isaiah 25:10Mkono wa Bwana utatulia juu ya mlima huu, 2 bali Moabu atakanyagwa chini 2 kama majani makavu yakanyagwavyo kwenye shimo la mbolea. 1
Romans 16:20Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu iwe nanyi. Amen.
2 Corinthians 2:14Lakini Mungu ashukuriwe, yeye ambaye siku zote hutufanya tuandamane kwa ushindi tukiwa ndani ya Kristo. Naye kupitia kwetu hueneza kila mahali harufu nzuri ya kumjua yeye.