Zaburi 109:13
Uzao wake na ukatiliwe mbali, 2 majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let his posterity be cut off; and in the generation following let their name be blotted out.
In Context
12Asiwepo mtu yeyote wa kumtendea mema 2 wala wa kuwahurumia yatima wake. 1
14Maovu ya baba zake na yakumbukwe 2 mbele za Bwana, 1 dhambi ya mama yake 2 isifutwe kamwe. 1
Cross References
Deuteronomy 9:14Niache, ili nipate kuwaangamiza na kufuta jina lao kutoka chini ya mbingu. Nami nitakufanya kuwa taifa lenye nguvu zaidi na kuwa wengi kuliko wao.”
Deuteronomy 29:20Bwana kamwe hatakuwa radhi kumsamehe, ghadhabu na wivu wa Mungu vitawaka dhidi ya mtu huyo. Laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki zitamwangukia na Bwana atafuta jina lake chini ya mbingu.
1 Samuel 3:13Kwa kuwa nilimwambia kwamba ningehukumu jamaa yake milele kwa sababu ya dhambi aliyoijua, wanawe kumkufuru Mungu, naye akashindwa kuwazuia.
2 Kings 10:10Fahamuni basi kwamba, hakuna neno ambalo Bwana amesema dhidi ya nyumba ya Ahabu ambalo halitatimia. Bwana amefanya lile aliloahidi kupitia mtumishi wake Eliya.”
Job 18:17Kumbukumbu lake litatoweka katika dunia, 2 wala hatakuwa na jina katika nchi. 1
Psalms 21:10Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, 2 uzao wao kutoka wanadamu. 1