Ayubu 18:17
Kumbukumbu lake litatoweka katika dunia, 2 wala hatakuwa na jina katika nchi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
His remembrance shall perish from the earth, and he shall have no name in the street.
In Context
16Mizizi yake chini itakauka 2 na matawi yake juu yatanyauka. 1
18Ameondolewa nuruni na kusukumiwa gizani, 2 naye amefukuzwa mbali atoke duniani. 1
Cross References
Psalms 9:6Uharibifu usiokoma umempata adui, 2 umeingʼoa miji yao; 2 hata kumbukumbu lao limetoweka. 1
Psalms 41:5Adui zangu wanasema kwa hila, 2 “Lini atakufa, na jina lake litokomee kabisa.” 1
Psalms 109:13Uzao wake na ukatiliwe mbali, 2 majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho. 1
Proverbs 10:7Kumbukumbu ya mwenye haki itakuwa baraka, 2 lakini jina la mwovu litaoza. 1
Isaiah 26:14Wao sasa wamekufa, wala hawako tena hai, 2 roho za waliokufa hazitarudi tena. 1 Uliwaadhibu na kuwaangamiza, 2 umefuta kumbukumbu lao lote. 1