Zaburi 113:1
Msifuni Bwana. 1 Enyi watumishi wa Bwana msifuni, 2 lisifuni jina la Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Praise ye the LORD. Praise, O ye servants of the LORD, praise the name of the LORD.
In Context
2Jina la Bwana na lisifiwe, 2 sasa na hata milele. 1
Cross References
Psalms 34:22Bwana huwakomboa watumishi wake, 2 yeyote anayemkimbilia yeye 2 hatahukumiwa kamwe.
Psalms 103:20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, 2 ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, 2 ninyi mnaotii neno lake. 1
Psalms 134:1Msifuni Bwana, ninyi nyote watumishi wa Bwana, 2 ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Bwana. 1
Psalms 135:20ee nyumba ya Lawi, msifuni Bwana; 2 ninyi mnaomcha, msifuni Bwana. 1
Ephesians 5:19Msemezane ninyi kwa ninyi kwa zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, mkimwimbia na kumsifu Bwana mioyoni mwenu,