Zaburi 113:2
Jina la Bwana na lisifiwe, 2 sasa na hata milele. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Blessed be the name of the LORD from this time forth and for evermore.
In Context
1Msifuni Bwana. 1 Enyi watumishi wa Bwana msifuni, 2 lisifuni jina la Bwana. 1
3Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake, 2 jina la Bwana linapaswa kusifiwa. 1
Cross References
1 Chronicles 16:36Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, 2 tangu milele na hata milele. Nao watu wote wakasema, “Amen,” na “Msifuni Bwana.”
Psalms 41:13Msifuni Bwana, Mungu wa Israeli, 2 tangu milele na hata milele. Amen na Amen.
Psalms 115:18bali ni sisi tunaomtukuza Bwana, 2 sasa na hata milele. 1 Msifuni Bwana. + 115:18 Msifuni Bwana ni Kiebrania Hallelu Yah.
Ephesians 3:21yeye atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu kwa vizazi vyote, milele na milele. Amen.