Zaburi 113:5
Ni nani aliye kama Bwana Mungu wetu, 2 Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who is like unto the LORD our God, who dwelleth on high,
In Context
4Bwana ametukuka juu ya mataifa yote, 2 utukufu wake juu ya mbingu. 1
6ambaye huinama atazame chini 2 aone mbingu na nchi? 1
Cross References
Exodus 15:11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? 2 Ni nani kama Wewe: 3 uliyetukuka katika utakatifu, 3 utishaye katika utukufu, 3 ukitenda maajabu? 1
Psalms 11:4Bwana yuko ndani ya Hekalu lake takatifu; 2 Bwana yuko kwenye kiti chake cha enzi mbinguni. 1 Huwaangalia wana wa watu, 2 macho yake yanawajaribu. 1
Psalms 89:6Kwa kuwa ni nani katika mbingu 2 anayeweza kulinganishwa na Bwana? 1 Ni nani miongoni mwa viumbe vya mbinguni 2 aliye kama Bwana? 1
Psalms 89:8Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 ni nani aliye kama wewe? 1 Ee Bwana, wewe ni mwenye nguvu, 2 na uaminifu wako unakuzunguka. 1
Psalms 103:19Bwana ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, 2 ufalme wake unatawala juu ya vyote. 1
Isaiah 40:18Basi, utamlinganisha Mungu na nani? 2 Utamlinganisha na kitu gani? 1