Zaburi 113:4
Bwana ametukuka juu ya mataifa yote, 2 utukufu wake juu ya mbingu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The LORD is high above all nations, and his glory above the heavens.
In Context
3Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake, 2 jina la Bwana linapaswa kusifiwa. 1
5Ni nani aliye kama Bwana Mungu wetu, 2 Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi, 1
Cross References
1 Kings 8:27“Lakini kweli, je, Mungu atafanya makao duniani? Mbingu, hata mbingu zilizo juu sana, haziwezi kukutosha wewe. Sembuse Hekalu hili nililojenga!
Psalms 57:10Kwa maana upendo wako ni mkuu, waenea hadi mbinguni, 2 uaminifu wako unazifikia anga. 1
Psalms 99:2Bwana ni mkuu katika Sayuni; 2 ametukuzwa juu ya mataifa yote. 1
Isaiah 40:15Hakika mataifa ni kama tone ndani ya ndoo, 2 ni kama vumbi jembamba juu ya mizani, 2 huvipima visiwa kana kwamba vilikuwa vumbi laini. 1
Isaiah 40:22Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, 2 nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi. 1 Huzitandaza mbingu kama chandarua, 2 na kuzitandaza kama hema la kuishi. 1