The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 113 › Zaburi 113:9

Zaburi 113:9

Humjalia mwanamke tasa kutulia nyumbani mwake, 2 akiwa mama watoto mwenye furaha. 1 Msifuni Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He maketh the barren woman to keep house, and to be a joyful mother of children. Praise ye the LORD.

In Context

8huwaketisha pamoja na wakuu, 2 pamoja na wakuu wa watu wake. 1

Read all of Zaburi 113

Cross References

Genesis 25:21Isaki akamwomba Bwana kwa ajili ya mke wake, kwa sababu alikuwa tasa. Bwana akajibu maombi yake na Rebeka mkewe akapata mimba.

Numbers 5:28Hata hivyo, ikiwa huyo mwanamke hakujitia unajisi, naye ni safi, atasafishwa hatia na ataweza kuzaa watoto.

2 Kings 4:17Lakini yule mwanamke akapata mimba, na mwaka uliofuata wakati kama ule ule akamzaa mwana, kama vile Elisha alivyokuwa amemwambia.

Isaiah 54:1“Imba, ewe mwanamke tasa, 2 wewe ambaye kamwe hukuzaa mtoto; 1 paza sauti kwa kuimba, piga kelele kwa furaha, 2 wewe ambaye kamwe hukupata utungu; 1 kwa sababu watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengi 2 kuliko wa mwanamke mwenye mume,” 4 asema Bwana. 1

Galatians 4:27Kwa maana imeandikwa: 1 “Furahi, ewe mwanamke tasa, 2 wewe usiyezaa; 1 paza sauti, na kuimba kwa furaha, 2 wewe usiyepatwa na utungu wa kuzaa; 1 kwa maana watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengi 2 kuliko wa mwanamke mwenye mume.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 113:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 113:8Zaburi 113