Zaburi 113:8
huwaketisha pamoja na wakuu, 2 pamoja na wakuu wa watu wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That he may set him with princes, even with the princes of his people.
In Context
7Huwainua maskini kutoka mavumbini, 2 na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala, 1
9Humjalia mwanamke tasa kutulia nyumbani mwake, 2 akiwa mama watoto mwenye furaha. 1 Msifuni Bwana.
Cross References
Genesis 41:41Kwa hiyo Farao akamwambia Yosefu, “Sasa nakuweka uwe msimamizi wa nchi yote ya Misri.”
Job 36:7Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki; 2 huwaketisha penye viti vya enzi pamoja na wafalme 2 na kuwatukuza milele. 1
Psalms 68:13Hata ulalapo katikati ya mioto ya kambini, 2 mabawa ya njiwa wangu yamefunikwa kwa fedha, 2 manyoya yake kwa dhahabu ingʼaayo.” 1
Revelation 5:9Nao wakaimba wimbo mpya, wakisema: 1 “Wewe unastahili kukitwaa kitabu 2 na kuzivunja lakiri zake, 1 kwa sababu ulichinjwa 2 na kwa damu yako ukamnunulia Mungu watu 1 kutoka kila kabila, kila lugha, 2 kila jamaa na kila taifa. 1