Zaburi 116:1
Ninampenda Bwana kwa maana amesikia sauti yangu; 2 amesikia kilio changu ili anihurumie. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I love the LORD, because he hath heard my voice and my supplications.
In Context
2Kwa sababu amenitegea sikio lake, 2 nitamwita siku zote za maisha yangu. 1
Cross References
Genesis 35:2Hivyo Yakobo akawaambia watu wa nyumbani mwake pamoja na wote waliokuwa naye, “Iondoeni miungu ya kigeni ile iliyoko katikati yenu, jitakaseni na mkabadilishe nguo zenu.
1 Samuel 1:26naye Hana akamwambia Eli, “Hakika kama uishivyo, bwana wangu, mimi ndiye yule mama ambaye alisimama hapa karibu nawe akiomba kwa Bwana.
Psalms 18:1Nakupenda wewe, Ee Bwana, 2 nguvu yangu. 1
Psalms 28:6Bwana asifiwe, 2 kwa maana amesikia kilio changu 2 nikimwomba anihurumie. 1
Psalms 34:3Mtukuzeni Bwana pamoja nami, 2 naam, na tulitukuze jina lake pamoja. 1
Psalms 66:19lakini hakika Mungu amenisikiliza 2 na amesikia sauti yangu katika maombi. 1