Zaburi 116:2
Kwa sababu amenitegea sikio lake, 2 nitamwita siku zote za maisha yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Because he hath inclined his ear unto me, therefore will I call upon him as long as I live.
In Context
1Ninampenda Bwana kwa maana amesikia sauti yangu; 2 amesikia kilio changu ili anihurumie. 1
Cross References
Psalms 28:6Bwana asifiwe, 2 kwa maana amesikia kilio changu 2 nikimwomba anihurumie. 1
Psalms 31:3Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu, 2 uniongoze na kunilinda kwa ajili ya jina lako. 1
Psalms 55:16Lakini ninamwita Mungu, 2 naye Bwana huniokoa. 1
Psalms 88:1Ee Bwana, Mungu uniokoaye, 2 nimelia mbele zako usiku na mchana. 1
Jonah 2:3Ulinitupa kwenye kilindi, 2 ndani kabisa ya moyo wa bahari, 2 mikondo ya maji ilinizunguka, 1 mawimbi yako yote na viwimbi 2 vilipita juu yangu. 1
Philippians 4:6Msijisumbue kwa jambo lolote, bali katika kila jambo kwa kuomba na kusihi pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.