The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 116 › Zaburi 116:8

Zaburi 116:8

Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, 2 umeniokoa nafsi yangu na mauti, 1 macho yangu kutokana na machozi, 2 miguu yangu kutokana na kujikwaa, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For thou hast delivered my soul from death, mine eyes from tears, and my feet from falling.

In Context

7Ee nafsi yangu, tulia tena, 2 kwa kuwa Bwana amekuwa mwema kwako. 1

9ili niweze kutembea mbele za Bwana, 2 katika nchi ya walio hai. 1

Read all of Zaburi 116

Cross References

Psalms 37:24ajapojikwaa, hataanguka, 2 kwa maana Bwana 2 humtegemeza kwa mkono wake. 1

Psalms 56:13Kwa kuwa umeniokoa toka kwenye mauti 2 na miguu yangu kwenye kujikwaa, 1 ili niweze kuenenda mbele za Mungu 2 katika nuru ya uzima.

Psalms 94:18Niliposema, “Mguu wangu unateleza,” 2 Ee Bwana, upendo wako ulinishikilia. 1

Isaiah 38:5“Nenda ukamwambie Hezekia, ‘Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa baba yako Daudi: Nimeyasikia maombi yako na nimeona machozi yako. Nitakuongezea miaka kumi na mitano katika maisha yako.

Revelation 21:4Atafuta kila chozi kutoka macho yao. Mauti haitakuwepo tena, wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu, kwa maana mambo ya kwanza yamekwisha kupita.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 116:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 116:7Zaburi 116Zaburi 116:9 →