Zaburi 118:21
Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, 2 umekuwa wokovu wangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I will praise thee: for thou hast heard me, and art become my salvation.
In Context
20Hili ni lango la Bwana 2 ambalo wenye haki wanaweza kuliingia. 1
22Jiwe walilolikataa waashi, 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni. 1
Cross References
Exodus 15:2Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu; 2 amekuwa wokovu wangu. 1 Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu, 2 Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza. 1
Psalms 69:33Bwana huwasikia wahitaji 2 wala hadharau watu wake waliotekwa. 1
Psalms 118:14Bwana ni nguvu yangu na wimbo wangu, 2 yeye amefanyika wokovu wangu. 1
Isaiah 49:8Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Wakati wangu uliokubalika nitakujibu, 2 nami katika siku ya wokovu nitakusaidia; 1 nitakuhifadhi, nami nitakufanya 2 kuwa agano kwa ajili ya watu, 1 ili kurudisha nchi 2 na kugawanyia urithi tena wale waliokuwa ukiwa, 1