The Bible Software
bible.softwarePsalmsPsalms 119 › Psalms 119:21

Psalms 119:21

Unawakemea wenye majivuno, waliolaaniwa 2 waendao mbali na amri zako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou hast rebuked the proud that are cursed, which do err from thy commandments.

In Context

20Nafsi yangu inataabika kwa shauku kubwa 2 juu ya sheria zako wakati wote. 1

22Niondolee dharau na dhihaka, 2 kwa kuwa ninazishika sheria zako. 1

Read all of Psalms 119

Cross References

Exodus 10:3Kwa hiyo Mose na Aroni wakaenda kwa Farao na kumwambia, “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Waebrania, asemalo: ‘Utaendelea hata lini kukataa kunyenyekea mbele yangu? Waachie watu wangu waende, ili wapate kuniabudu.

Deuteronomy 27:15“Alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga au mwenye kusubu sanamu, kitu ambacho ni chukizo kwa Bwana, kazi ya mikono ya fundi stadi, na kuisimamisha kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

Deuteronomy 28:15Hata hivyo, kama hutamtii Bwana Mungu wako na kuzishika kwa bidii amri zake zote na maagizo ninayokupa leo, laana hizi zote zitakuja juu yako na kukupata:

Nehemiah 9:16“Lakini wao, baba zetu, wakawa na kiburi na shingo ngumu, nao hawakutii maagizo yako.

Job 40:11Fungulia ukali wa ghadhabu yako, 2 mtafute kila mwenye kiburi umshushe, 1

Psalms 119:78Wenye majivuno na waaibishwe kwa kunikosea mimi bila sababu, 2 lakini mimi nitatafakari juu ya mausia yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Psalms 119:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Psalms 119:20Psalms 119Psalms 119:22 →