Ayubu 40:11
Fungulia ukali wa ghadhabu yako, 2 mtafute kila mwenye kiburi umshushe, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Cast abroad the rage of thy wrath: and behold every one that is proud, and abase him.
In Context
10Basi jivike mwenyewe utukufu na fahari, 2 nawe uvae heshima na enzi. 1
12mwangalie kila mtu mwenye kiburi na umnyenyekeze, 2 waponde waovu mahali wasimamapo. 1
Cross References
Exodus 9:16Lakini nimekuinua wewe kwa kusudi hili hasa, ili nipate kukuonyesha uwezo wangu, na ili Jina langu lipate kutangazwa duniani yote.
Exodus 18:11Sasa najua ya kuwa Bwana ni mkuu kuliko miungu mingine yote, kwa kuwa amewatendea hivi wale waliowatenda Israeli kwa ujeuri.”
Job 9:5Aiondoa milima bila yenyewe kujua 2 na kuipindua kwa hasira yake. 1
Job 27:22Humvurumisha bila huruma, 2 huku akikimbia kasi kukwepa nguvu zake. 1
Psalms 94:2Ee Mhukumu wa dunia, inuka, 2 uwalipize wenye kiburi kama wanavyostahili. 1
Isaiah 2:11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa 2 na kiburi cha wanadamu kitashushwa, 1 Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 1