The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 119 › Zaburi 119:39

Zaburi 119:39

Niondolee aibu ninayoiogopa, 2 kwa kuwa sheria zako ni njema. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Turn away my reproach which I fear: for thy judgments are good.

In Context

38Mtimizie mtumishi wako ahadi yako, 2 ili upate kuogopwa. 1

40Tazama jinsi ninavyoonea shauku mausia yako! 2 Hifadhi maisha yangu katika haki yako. 2 Kuitumainia Sheria Ya Bwana 1

Read all of Zaburi 119

Cross References

2 Samuel 12:14Lakini kwa sababu kwa kufanya hili umefanya adui za Bwana kuonyesha dharau kabisa, mwana atakayezaliwa kwako atakufa.”

Psalms 39:8Niokoe kutoka kwenye makosa yangu yote, 2 usinifanye kuwa dhihaka ya wapumbavu. 1

Psalms 119:20Nafsi yangu inataabika kwa shauku kubwa 2 juu ya sheria zako wakati wote. 1

Psalms 119:31Nimengʼangʼania sheria zako, Ee Bwana, 2 usiniache niaibishwe. 1

Psalms 119:75Ee Bwana, ninajua kwamba sheria zako ni za haki, 2 katika uaminifu wako umeniadhibu. 1

Psalms 119:131Nimefungua kinywa changu na kuhema, 2 nikitamani amri zako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 119:39

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 119:38Zaburi 119Zaburi 119:40 →