Zaburi 13:6
Nitamwimbia Bwana, 2 kwa kuwa amekuwa mwema kwangu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I will sing unto the LORD, because he hath dealt bountifully with me.
In Context
5Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; 2 moyo wangu unashangilia katika wokovu wako. 1
Cross References
Psalms 21:13Ee Bwana, utukuzwe katika nguvu zako, 2 tutaimba na kusifu nguvu zako.
Psalms 116:7Ee nafsi yangu, tulia tena, 2 kwa kuwa Bwana amekuwa mwema kwako. 1