Zaburi 13:5
Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; 2 moyo wangu unashangilia katika wokovu wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But I have trusted in thy mercy; my heart shall rejoice in thy salvation.
In Context
4Adui yangu atasema, “Nimemshinda,” 2 nao adui zangu watashangilia nitakapoanguka. 1
6Nitamwimbia Bwana, 2 kwa kuwa amekuwa mwema kwangu.
Cross References
Psalms 9:14ili niweze kutangaza sifa zako 2 katika malango ya Binti Sayuni 2 na huko niushangilie wokovu wako. 1
Psalms 32:10Mtu mwovu ana taabu nyingi, 2 bali upendo usio na kikomo wa Bwana 2 unamzunguka mtu anayemtumaini. 1
Psalms 33:21Mioyo yetu humshangilia, 2 kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu. 1
Psalms 38:17Kwa maana ninakaribia kuanguka, 2 na maumivu yangu yananiandama siku zote. 1
Psalms 51:12Unirudishie tena furaha ya wokovu wako, 2 unipe roho ya utii, ili initegemeze. 1
Psalms 119:81Nafsi yangu inazimia kwa kutamani wokovu wako, 2 lakini nimeweka tumaini langu katika neno lako. 1