Psalms 136:21
Akatoa nchi yao kuwa urithi, Fadhili zake zadumu milele. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And gave their land for an heritage: for his mercy endureth for ever:
In Context
20Ogu mfalme wa Bashani, Fadhili zake zadumu milele. 1
22Urithi kwa Israeli mtumishi wake, Fadhili zake zadumu milele. 1
Cross References
Numbers 32:33Kisha Mose akawapa Wagadi, Wareubeni, na nusu ya kabila la Manase mwana wa Yosefu ufalme wa Sihoni mfalme wa Waamori, na ufalme wa Ogu mfalme wa Bashani, nchi yote pamoja na miji yake, na nchi inayowazunguka.
Deuteronomy 3:18Wakati huo nilikuamuru: “ Bwana Mungu wako amekupa nchi hii uimiliki. Lakini ni lazima wanaume wenu wote wenye uwezo, wakiwa wamejiandaa tayari kwa vita, wavuke ngʼambo wakiwatangulia ndugu zako Waisraeli.
Joshua 13:1Yoshua alipokuwa mzee na umri wake ukiwa umesogea sana, Bwana akamwambia, “Wewe ni mzee sana, na bado kumesalia sehemu kubwa sana za nchi ambazo ni za kutwaliwa.
Psalms 44:2Kwa mkono wako uliwafukuza mataifa 2 na ukawapanda baba zetu, 1 uliangamiza mataifa 2 na kuwastawisha baba zetu. 1
Psalms 105:44akawapa nchi za mataifa, wakawa warithi 2 wa mali wengine walikuwa wameitaabikia: 1
Isaiah 41:8“Lakini wewe, ee Israeli, mtumishi wangu, 2 Yakobo, niliyemchagua, 2 ninyi wazao wa Abrahamu rafiki yangu, 1