Isaiah 41:8
“Lakini wewe, ee Israeli, mtumishi wangu, 2 Yakobo, niliyemchagua, 2 ninyi wazao wa Abrahamu rafiki yangu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But thou, Israel, art my servant, Jacob whom I have chosen, the seed of Abraham my friend.
In Context
Cross References
Leviticus 25:42Kwa sababu Waisraeli ni watumishi wangu niliowaleta kutoka nchi ya Misri, kamwe wasiuzwe kama watumwa.
Deuteronomy 10:15Hata hivyo Bwana alikuwa na shauku na baba zako, akawapenda na akawachagua ninyi, wazao wao, kuliko mataifa yote, kama ilivyo leo.
1 Chronicles 16:13enyi wazao wa Israeli mtumishi wake, 2 enyi wana wa Yakobo, wateule wake. 1
Psalms 33:12Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, 2 watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake. 1
Psalms 105:42Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu, 2 aliyompa Abrahamu mtumishi wake. 1
Psalms 136:21Akatoa nchi yao kuwa urithi, Fadhili zake zadumu milele. 1