The Bible Software
bible.softwarePsalmsPsalms 139 › Psalms 139:21

Psalms 139:21

Ee Bwana, je, nisiwachukie wanaokuchukia? 2 Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Do not I hate them, O LORD, that hate thee? and am not I grieved with those that rise up against thee?

In Context

20Wanazungumza juu yako wakiwa na kusudi baya, 2 adui zako wanatumia vibaya jina lako. 1

22Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao, 2 ninawahesabu ni adui zangu. 1

Read all of Psalms 139

Cross References

Psalms 15:4ambaye humdharau mtu mbaya, 2 lakini huwaheshimu wale wamwogopao Bwana, 1 yule atunzaye kiapo chake 2 hata kama anaumia. 1

Psalms 31:6Ninawachukia wale wanaongʼangʼania sanamu batili; 2 mimi ninamtumaini Bwana. 1

Psalms 119:158Ninawatazama wasioamini kwa chuki, 2 kwa kuwa hawalitii neno lako. 1

Mark 3:5Yesu akawatazama pande zote kwa hasira, akahuzunika sana kwa ajili ya ugumu wa mioyo yao. Akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, “Nyoosha mkono wako.” Akaunyoosha, nao ukaponywa kabisa!

Romans 9:1Ninasema kweli katika Kristo, wala sisemi uongo, dhamiri yangu inanishuhudia katika Roho Mtakatifu.

Revelation 2:6Lakini una jambo hili kwa upande wako: Unayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo nami pia nayachukia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Psalms 139:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Psalms 139:20Psalms 139Psalms 139:22 →