Zaburi 140:13
Hakika wenye haki watalisifu jina lako, 2 na waadilifu wataishi mbele zako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Surely the righteous shall give thanks unto thy name: the upright shall dwell in thy presence.
In Context
12Najua kwamba Bwana huwapatia maskini haki, 2 na kuitegemeza njia ya mhitaji. 1
Cross References
Psalms 11:7Kwa kuwa Bwana ni mwenye haki, 2 yeye hupenda haki. 2 Wanyofu watauona uso wake.
Psalms 23:6Hakika wema na upendo vitanifuata 2 siku zote za maisha yangu, 1 nami nitakaa nyumbani mwa Bwana 2 milele.
Psalms 35:10Nitapaza sauti yangu nikisema, 2 “Ni nani aliye kama wewe, Ee Bwana? 1 Wewe huwaokoa maskini kutokana na wale walio na nguvu kuliko wao, 2 maskini na mhitaji kutokana na wanaowanyangʼanya!” 1
Psalms 97:12Furahini katika Bwana, ninyi mlio wenye haki, 2 lisifuni jina lake takatifu.
Isaiah 3:10Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, 2 kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 1
John 17:24“Baba, shauku yangu ni kwamba, wale ulionipa wawe pamoja nami pale nilipo, ili waweze kuuona utukufu wangu, yaani, utukufu ule ulionipa kwa kuwa ulinipenda hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu.