Zaburi 144:13
Ghala zetu zitajazwa 2 aina zote za mahitaji. 1 Kondoo zetu watazaa kwa maelfu, 2 kwa makumi ya maelfu katika mashamba yetu; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:5Kupura nafaka kwenu kutaendelea mpaka wakati wa kuvuna zabibu. Pia kuvuna zabibu kutaendelea mpaka wakati wa kupanda mbegu, nanyi mtakula na kushiba, na mtaishi salama katika nchi yenu.
Deuteronomy 7:13Atawapenda ninyi na kuwabariki na kuongeza idadi yenu. Atabariki uzao wa tumbo lenu, mazao ya nchi yenu, nafaka, divai mpya na mafuta, ndama za ngʼombe wa makundi yenu, na kondoo za makundi yenu katika nchi ile aliyoapa kuwapa baba zenu.
Deuteronomy 28:4Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ngʼombe, na wana-kondoo wa makundi yako.
Psalms 107:37Walilima mashamba na kupanda mizabibu, 2 nayo ikazaa matunda mengi, 1
Luke 12:16Kisha akawaambia mfano huu: “Shamba la mtu mmoja tajiri lilizaa sana.