Walawi 26:5
Kupura nafaka kwenu kutaendelea mpaka wakati wa kuvuna zabibu. Pia kuvuna zabibu kutaendelea mpaka wakati wa kupanda mbegu, nanyi mtakula na kushiba, na mtaishi salama katika nchi yenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 25:18“ ‘Fuateni amri zangu, mwe waangalifu kutii amri zangu, nanyi mtaishi salama katika nchi.
Deuteronomy 11:15Nitawapa majani kwa ajili ya ngʼombe wenu, nanyi mtakula na kushiba.
Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1
Psalms 91:1Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, 2 atadumu katika uvuli wake Mwenyezi. + 91:1 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1
Proverbs 1:33Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama, 2 atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”
Isaiah 1:19Kama mkikubali na kutii, 2 mtakula mema ya nchi, 1