Psalms 145:21
Kinywa changu kitazinena sifa za Bwana. 2 Kila kiumbe na kilisifu jina lake takatifu 2 milele na milele.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Bwana huwalinda wote wampendao, 2 bali waovu wote atawaangamiza. 1
Cross References
Psalms 30:12ili moyo wangu uweze kukusifu na usikae kimya. 2 Ee Bwana Mungu wangu, nitakushukuru milele.
Psalms 65:2Ewe usikiaye maombi, 2 kwako wewe watu wote watakuja. 1
Psalms 69:35kwa maana Mungu ataiokoa Sayuni 2 na kuijenga tena miji ya Yuda. 1 Kisha watu watafanya makao yao humo na kuimiliki, 2
Psalms 71:15Kinywa changu kitasimulia haki yako, 2 wokovu wako mchana kutwa, 2 ingawa sifahamu kipimo chake. 1
Psalms 86:9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya 2 yatakuja na kuabudu mbele zako; 2 wataliletea utukufu jina lako. 1
Psalms 103:22Mhimidini Bwana, kazi zake zote 2 kila mahali katika milki yake. 1 Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.