The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 65 › Zaburi 65:2

Zaburi 65:2

Ewe usikiaye maombi, 2 kwako wewe watu wote watakuja. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

O thou that hearest prayer, unto thee shall all flesh come.

In Context

1Ee Mungu, sifa zakungojea katika Sayuni; 2 kwako wewe nadhiri zetu zitatimizwa. 1

3Tulipokuwa tumefunikwa kabisa na dhambi, 2 wewe ulisamehe makosa yetu. 1

Read all of Zaburi 65

Cross References

1 Kings 18:37Unijibu mimi, Ee Bwana, nijibu mimi, ili watu hawa wajue kwamba wewe, Ee Bwana, ndiwe Mungu, na kwamba unaigeuza mioyo yao ikurudie tena.”

Psalms 22:27Miisho yote ya dunia itakumbuka 2 na kumgeukia Bwana, 1 nazo jamaa zote za mataifa 2 watasujudu mbele zake, 1

Psalms 66:13Nitakuja hekaluni mwako na sadaka za kuteketezwa 2 na kukutimizia nadhiri zangu: 1

Psalms 86:9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya 2 yatakuja na kuabudu mbele zako; 2 wataliletea utukufu jina lako. 1

Psalms 116:14Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana 2 mbele za watu wake wote. 1

Psalms 145:18Bwana yu karibu na wote wamwitao, 2 karibu na wote wamwitao kwa uaminifu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 65:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 65:1Zaburi 65Zaburi 65:3 →