Zaburi 148:13
Wote na walisifu jina la Bwana, 2 kwa maana jina lake pekee limetukuka, 2 utukufu wake uko juu ya nchi na mbingu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12wanaume vijana na wanawali, 2 wazee na watoto. 1
Cross References
Psalms 8:1Ee Bwana, Bwana wetu, 2 tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote! 1 Umeuweka utukufu wako 2 juu ya mbingu. 1
Psalms 8:9Ee Bwana, Bwana wetu, 2 tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Psalms 72:19Jina lake tukufu lisifiwe milele, 2 ulimwengu wote ujae utukufu wake. Amen na Amen. 1
Psalms 99:9Mtukuzeni Bwana Mungu wetu, 2 mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu, 2 kwa maana Bwana Mungu wetu ni mtakatifu.
Psalms 113:4Bwana ametukuka juu ya mataifa yote, 2 utukufu wake juu ya mbingu. 1
Song of Solomon 5:9Je, mpendwa wako ni bora kuliko wengine namna gani, 2 wewe uliye mzuri kupita wanawake wote? 1 Je, mpendwa wako ni mzuri kuliko wengine, namna gani, 2 hata unatuagiza hivyo? Mpendwa 1