Zaburi 18:13
Bwana alinguruma kutoka mbinguni, 2 sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Kutokana na mwanga wa uwepo wake 2 mawingu yalisogea, 1 ikanyesha mvua ya mawe 2 na umeme wa radi. 1
14Aliipiga mishale yake na kutawanya adui, 2 naam, umeme mwingi wa radi na kuwafukuza. 1
Cross References
Exodus 9:24mvua ya mawe ikanyesha na radi ikamulika pote. Ikawa dhoruba ya kutisha ambayo haijakuwako katika nchi ya Misri, tangu nchi hiyo iwe taifa.
Deuteronomy 32:24Nitatuma njaa kali dhidi yao maradhi mabaya, 2 yateketezayo na tauni ya kufisha; 1 nitawapelekea meno makali ya wanyama mwitu, 2 na sumu ya nyoka wale watambaao mavumbini. 1
1 Samuel 7:10Samweli alipokuwa anatoa hiyo dhabihu ya kuteketezwa, Wafilisti wakasogea karibu ili kupigana vita na Israeli. Lakini siku ile Bwana alinguruma kwa ngurumo kubwa dhidi ya Wafilisti na kuwafanya wafadhaike na kutetemeka hivi kwamba walikimbizwa mbele ya Waisraeli.
Psalms 11:6Atawanyeshea waovu makaa ya moto mkali 2 na kiberiti kinachowaka, 2 upepo wenye joto kali ndio fungu lao. 1
Psalms 78:48Aliwaachia mifugo yao mvua ya mawe, 2 akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi. 1
Psalms 120:3Atakufanyia nini, 2 au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu? 1