Kumbukumbu 32:24
Nitatuma njaa kali dhidi yao maradhi mabaya, 2 yateketezayo na tauni ya kufisha; 1 nitawapelekea meno makali ya wanyama mwitu, 2 na sumu ya nyoka wale watambaao mavumbini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23“Nitalundika majanga juu yao 2 na kutumia mishale yangu dhidi yao. 1
Cross References
Genesis 3:14Hivyo Bwana Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hili, 1 “Umelaaniwa kuliko wanyama wote 2 wa kufugwa na wa porini! 1 Utatambaa kwa tumbo lako 2 na kula mavumbi 2 siku zote za maisha yako. 1
Leviticus 26:22Nitawatuma wanyama mwitu dhidi yenu, nao watawaibieni watoto wenu, watawaangamiza ngʼombe wenu, na kuifanya idadi yenu kuwa ndogo, hivi kwamba barabara zenu zitakuwa hazina watu.
Deuteronomy 28:53Utakula uzao wa tumbo lako, nyama ya wana wako na binti zako ambao Bwana Mungu wako amekupa, kwa sababu ya mateso yale adui zako watakayokuletea wakati wa kukuzingira.
Psalms 91:6wala maradhi ya kuambukiza 2 yanayonyemelea gizani, 2 wala tauni iharibuyo adhuhuri. 1
Isaiah 65:25Mbwa mwitu na mwana-kondoo watalisha pamoja, 2 naye simba atakula nyasi kama maksai, 2 lakini mavumbi yatakuwa chakula cha nyoka. 1 Hawatadhuru wala kuharibu 2 katika mlima wangu mtakatifu wote,” 4 asema Bwana.
Jeremiah 14:18Kama nikienda mashambani, 2 ninaona wale waliouawa kwa upanga; 1 kama nikienda mjini, 2 ninaona maangamizi ya njaa. 1 Nabii na kuhani kwa pamoja 2 wamekwenda katika nchi wasiyoijua.’ ” 1