Zaburi 2:1
Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, 2 na kabila za watu kula njama bure? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Why do the heathen rage, and the people imagine a vain thing?
In Context
Cross References
Psalms 21:11Ingawa watapanga mabaya dhidi yako 2 na kutunga hila, hawawezi kufanikiwa, 1
Psalms 46:7Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi, 2 Mungu wa Yakobo ni ngome yetu. 1
Psalms 74:23Usipuuze makelele ya watesi wako, 2 ghasia za adui zako, zinazoinuka mfululizo.
Psalms 83:4Wanasema, “Njooni, tuwaangamize kama taifa, 2 ili jina la Israeli lisikumbukwe tena.” 1
Matthew 21:38“Lakini wale wapangaji walipomwona mwanawe, wakasemezana wao kwa wao, ‘Huyu ndiye mrithi. Njooni tumuue, ili tuchukue urithi wake.’
Luke 22:1Wakati huu Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa imekaribia.