The Bible Software
bible.softwarePsalmsPsalms 21 › Psalms 21:11

Psalms 21:11

Ingawa watapanga mabaya dhidi yako 2 na kutunga hila, hawawezi kufanikiwa, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For they intended evil against thee: they imagined a mischievous device, which they are not able to perform.

In Context

10Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, 2 uzao wao kutoka wanadamu. 1

12kwa kuwa utawafanya wakimbie 2 utakapowalenga usoni pao 2 kwa mshale kutoka kwenye upinde wako. 1

Read all of Psalms 21

Cross References

Psalms 10:2Katika kiburi chake, mwovu humtesa maskini, 2 waovu na wanaswe katika hila wanazozitunga. 1

Psalms 35:20Hawazungumzi kwa amani, 2 bali wanatunga mashtaka ya uongo 1 dhidi ya wale wanaoishi 2 kwa utulivu katika nchi. 1

Psalms 109:13Uzao wake na ukatiliwe mbali, 2 majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho. 1

Isaiah 8:9Inueni kilio cha vita, enyi mataifa, 2 na mkavunjwevunjwe! 2 Sikilizeni, enyi nyote nchi za mbali. 1 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 2 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 1

Ezekiel 11:2Bwana akaniambia, “Mwanadamu, hawa ndio wafanyao hila na kutoa mashauri potovu katika mji huu.

Matthew 2:16Herode alipongʼamua kwamba wale wataalamu wa nyota wamemshinda kwa akili, alikasirika sana, naye akatoa amri ya kuwaua watoto wote wa kiume wenye umri wa miaka miwili kurudi chini katika mji wa Bethlehemu na sehemu zote za jirani, kufuatana na ule muda alioambiwa na wale wataalamu wa nyota.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Psalms 21:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Psalms 21:10Psalms 21Psalms 21:12 →