Zaburi 3:3
Lakini wewe, Ee Bwana, ni ngao pande zote; 2 umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But thou, O LORD, art a shield for me; my glory, and the lifter up of mine head.
In Context
2Wengi wanasema juu yangu, 2 “Mungu hatamwokoa.” 1
4Ninamlilia Bwana kwa sauti kuu, 2 naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu. 1
Cross References
Genesis 15:1Baada ya jambo hili, neno la Bwana likamjia Abramu katika maono: 1 “Usiogope, Abramu. 2 Mimi ni ngao yako, 2 na thawabu yako kubwa sana.”
Deuteronomy 33:29Ee Israeli, wewe umebarikiwa! 2 Ni nani kama wewe, 2 taifa lililookolewa na Bwana? 1 Yeye ni ngao yako na msaada wako, 2 na upanga wako uliotukuka. 1 Adui zako watatetemeka mbele yako, 2 nawe utapakanyaga 2 mahali pao pa juu.” + 33:29 Utapakanyaga mahali pao pa juu maana yake mtakanyaga juu ya miili yao.
2 Kings 18:32mpaka nije nikawapeleke katika nchi iliyo kama nchi yenu wenyewe, nchi ya nafaka na divai mpya, nchi ya mkate na mashamba ya mizabibu, nchi ya mizeituni na asali. Chagueni uzima, sio mauti! “Msimsikilize Hezekia, kwa kuwa anawapotosha asemapo, ‘ Bwana atatuokoa.’
Psalms 4:3Fahamuni hakika kwamba Bwana amewatenga 2 wale wamchao kwa ajili yake; 2 Bwana atanisikia nimwitapo. 1
Psalms 27:6Kisha kichwa changu kitainuliwa 2 juu ya adui zangu wanaonizunguka. 1 Katika maskani yake nitatoa dhabihu kwa kelele za shangwe; 2 nitamwimbia Bwana na kumsifu. 1
Psalms 62:7Wokovu wangu na heshima yangu viko kwa Mungu, 2 ndiye mwamba wangu wenye nguvu 2 na kimbilio langu. 1