The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 33 › Kumbukumbu 33:29

Kumbukumbu 33:29

Ee Israeli, wewe umebarikiwa! 2 Ni nani kama wewe, 2 taifa lililookolewa na Bwana? 1 Yeye ni ngao yako na msaada wako, 2 na upanga wako uliotukuka. 1 Adui zako watatetemeka mbele yako, 2 nawe utapakanyaga 2 mahali pao pa juu.” + 33:29 Utapakanyaga mahali pao pa juu maana yake mtakanyaga juu ya miili yao.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Happy art thou, O Israel: who is like unto thee, O people saved by the LORD, the shield of thy help, and who is the sword of thy excellency! and thine enemies shall be found liars unto thee; and thou shalt tread upon their high places.

In Context

28Hivyo Israeli ataishi salama peke yake. 2 Mzao wa Yakobo ni salama 1 katika nchi ya nafaka na divai mpya, 2 mahali ambapo mbingu 2 hudondosha umande. 1

Read all of Kumbukumbu 33

Cross References

Numbers 23:20Nimepokea agizo kubariki; 2 amebariki, nami siwezi kubadilisha. 1

Deuteronomy 4:7Ni taifa gani jingine lililo kubwa kiasi cha kuwa na miungu yao iliyo karibu nao kama Bwana Mungu wetu alivyo karibu nasi wakati wowote tunapomwomba?

Joshua 10:24Walipokuwa wamewaleta hawa wafalme kwa Yoshua, akawaita watu wote wa Israeli, na kuwaambia majemadari wa vita waliokwenda pamoja naye, “Njooni hapa mweke nyayo zenu juu ya shingo za hawa wafalme.” Basi wakaja wakaweka nyayo zao shingoni.

2 Samuel 7:23Naye ni nani aliye kama watu wako Israeli, taifa pekee duniani ambalo Mungu alitoka kwenda kulikomboa kwa ajili yake mwenyewe, na kujifanyia jina mwenyewe, kwa kufanya maajabu makubwa na ya kutisha kwa kuwafukuza mataifa na miungu yao mbele ya watu wako, ambao uliwakomboa kutoka Misri?

Psalms 7:12Kama hakutuhurumia, 2 atanoa upanga wake, 2 ataupinda na kuufunga uzi upinde wake. 1

Psalms 18:45Wote wanalegea, 2 wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 33:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 33:28Kumbukumbu 33