Zaburi 32:2
Heri mtu yule ambaye Bwana 2 hamhesabii dhambi, 1 na ambaye rohoni mwake 2 hamna udanganyifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Blessed is the man unto whom the LORD imputeth not iniquity, and in whose spirit there is no guile.
In Context
1Heri mtu yule ambaye amesamehewa makosa yake, 2 ambaye dhambi zake zimefunikwa. 1
3Niliponyamaza, mifupa yangu ilichakaa 2 kwa kulia kwa maumivu makali mchana kutwa. 1
Cross References
John 1:47Yesu alipomwona Nathanaeli anakaribia, akanena habari zake akasema, “Tazama huyu ni Mwisraeli kweli kweli; hana hila ndani yake.”
2 Corinthians 1:12Basi haya ndiyo majivuno yetu: Dhamiri yetu inatushuhudia kwamba tumeenenda katika ulimwengu na hasa katika uhusiano wetu na ninyi, katika utakatifu na uaminifu utokao kwa Mungu. Hatukufanya hivyo kwa hekima ya kidunia bali kwa neema ya Mungu.
1 Peter 2:1Kwa hiyo, wekeni mbali nanyi uovu wote na udanganyifu wote, unafiki, wivu na masingizio ya kila namna.