Zaburi 33:13
Kutoka mbinguni Bwana hutazama chini 2 na kuwaona wanadamu wote; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The LORD looketh from heaven; he beholdeth all the sons of men.
In Context
12Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, 2 watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake. 1
14kutoka maskani mwake huwaangalia 2 wote wakaao duniani: 1
Cross References
Genesis 6:12Mungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao.
Job 11:11Hakika anawatambua watu wadanganyifu; 2 naye aonapo uovu, je, haangalii? 1
Psalms 11:4Bwana yuko ndani ya Hekalu lake takatifu; 2 Bwana yuko kwenye kiti chake cha enzi mbinguni. 1 Huwaangalia wana wa watu, 2 macho yake yanawajaribu. 1
Psalms 53:2Mungu anawachungulia wanadamu chini 2 kutoka mbinguni 1 aone kama wako wenye akili, 2 wowote wanaomtafuta Mungu. 1
Psalms 102:19“ Bwana alitazama chini kutoka patakatifu pake palipo juu, 2 kutoka mbinguni alitazama dunia, 1
Jeremiah 23:23“Je, mimi ni Mungu aliyeko hapa karibu tu,” 4 Bwana asema, 2 “wala si Mungu aliyeko pia mbali? 1