Genesis 6:12
Mungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu.
Cross References
Genesis 6:4Wanefili walikuwako duniani siku hizo, na baadaye, hao wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu na kuzaa nao. Wanefili walikuwa mashujaa na watu waliojulikana wa zamani hizo.
Genesis 7:1Ndipo Bwana akamwambia Noa, “Ingia katika safina wewe na jamaa yako yote, kwa sababu katika kizazi hiki nimeona ya kuwa wewe ni mwenye haki.
Genesis 9:12Mungu akasema, “Hii ni ishara ya Agano ninalofanya kati yangu na ninyi na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi, Agano kwa vizazi vyote vijavyo:
Genesis 18:20Basi Bwana akasema, “Kilio dhidi ya Sodoma na Gomora ni kikubwa sana na dhambi yao inasikitisha sana,
Job 22:15Je, utaifuata njia ya zamani, 2 ambayo watu waovu waliikanyaga? 1
Psalms 14:1Mpumbavu anasema moyoni mwake, 2 “Hakuna Mungu.” 1 Wameharibika, matendo yao ni maovu kabisa; 2 hakuna hata mmoja atendaye mema. 1