bible.software › Zaburi › Zaburi 39 › Zaburi 39:4
Zaburi 39:4
“Ee Bwana, nijulishe mwisho wa maisha yangu 2 na hesabu ya siku zangu; 1 nijalie kujua jinsi maisha yangu 2 yanavyopita upesi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
LORD, make me to know mine end, and the measure of my days, what it is; that I may know how frail I am.
In Context
3Moyo wangu ulipata moto ndani yangu, 2 nilipotafakari, moto uliwaka, 2 ndipo nikasema kwa ulimi wangu: 1
5Umefanya maisha yangu mafupi kama pumzi; 2 muda wangu wa kuishi ni kama 2 hauna thamani kwako. 1 Maisha ya kila mwanadamu 2 ni kama pumzi. 1
Read all of Zaburi 39
Cross References
Psalms 90:12Tufundishe kuzihesabu siku zetu vizuri, 2 ili tujipatie moyo wa hekima. 1
Psalms 119:84Mtumishi wako itampasa angoje mpaka lini? 2 Ni lini utawaadhibu washtaki wangu? 1
This Verse In Other Editions
Study Zaburi 39:4