The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 39 › Zaburi 39:5

Zaburi 39:5

Umefanya maisha yangu mafupi kama pumzi; 2 muda wangu wa kuishi ni kama 2 hauna thamani kwako. 1 Maisha ya kila mwanadamu 2 ni kama pumzi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, thou hast made my days as an handbreadth; and mine age is as nothing before thee: verily every man at his best state is altogether vanity. Selah.

In Context

4“Ee Bwana, nijulishe mwisho wa maisha yangu 2 na hesabu ya siku zangu; 1 nijalie kujua jinsi maisha yangu 2 yanavyopita upesi. 1

6Hakika kila binadamu ni kama njozi 2 aendapo huku na huko: 1 hujishughulisha na mengi lakini ni ubatili; 2 anakusanya mali nyingi, 2 wala hajui ni nani atakayeifaidi. 1

Read all of Zaburi 39

Cross References

2 Samuel 19:34Lakini Barzilai akamjibu mfalme, “Je, nitaishi miaka mingine mingapi, hata nipande kwenda Yerusalemu pamoja na mfalme?

Job 9:25“Siku zangu zapita mbio kuliko mkimbiaji; 2 zinapita upesi bila kuona furaha hata kidogo. 1

Psalms 39:11Unakemea na kuadhibu wanadamu 2 kwa ajili ya dhambi zao; 1 unaharibu utajiri wao kama nondo aharibuvyo: 2 kila mwanadamu ni kama pumzi tu. 1

Psalms 89:47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. 2 Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu! 1

Psalms 90:9Tumeishi siku zetu zote chini ya ghadhabu yako, 2 tunamaliza miaka yetu kwa kuomboleza. 1

Psalms 144:4Mwanadamu ni kama pumzi, 2 siku zake ni kama kivuli kinachopita. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 39:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 39:4Zaburi 39Zaburi 39:6 →