Zaburi 41:13
Msifuni Bwana, Mungu wa Israeli, 2 tangu milele na hata milele. Amen na Amen.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Blessed be the LORD God of Israel from everlasting, and to everlasting. Amen, and Amen.
In Context
12Katika uadilifu wangu unanitegemeza 2 na kuniweka kwenye uwepo wako milele. 1
Cross References
Deuteronomy 27:15“Alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga au mwenye kusubu sanamu, kitu ambacho ni chukizo kwa Bwana, kazi ya mikono ya fundi stadi, na kuisimamisha kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
1 Chronicles 16:36Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, 2 tangu milele na hata milele. Nao watu wote wakasema, “Amen,” na “Msifuni Bwana.”
Psalms 72:18Bwana Mungu, Mungu wa Israeli, apewe sifa, 2 yeye ambaye peke yake hutenda mambo ya ajabu. 1
Psalms 106:48Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, 2 tangu milele na hata milele. 1 Watu wote na waseme, “Amen!” 1 Msifuni Bwana.
Psalms 150:6Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana. 2 Msifuni Bwana!
Matthew 6:13Usitutie majaribuni, 2 bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu 1 [kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu, 2 na utukufu, hata milele. Amen].’